Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
12/10/2016 kageuza tarehe na mwezi au yupo siriazi?
12/10/2016 kageuza tarehe na mwezi au yupo siriazi?
Halafu Unajua nilikuwa sijaona hiyo date!!!12/10/2016 kageuza tarehe na mwezi au yupo siriazi?
Halafu Unajua nilikuwa sijaona hiyo date!!!
*TANGAZO KWA WOTE*
Tunaomba wote mtoke KAPUKU FORUM(KF) asubuhi kuanzia saa 3 mpaka saa 7 mchana
Tunataka *KUPAKA RANGI*![]()
Mkuu si ufuge ht ng'ombenatafuta mchumba humu nitampata ?
mi naishi dar kibamba kama yumo nampeleka mpaka kwangu na siku hiyo tutakula ugali na kuku wa kuchoma maana ninafuga na ninajua kupika pia mimi ni dume
TupoHumu kiiiiiiimya sanaaaaaaaa
Kushinda wewe?View attachment 435495 shululu haya mambo kumbe mtaalam eeh!!!
Naona mlikuwa wote
MsomaliView attachment 435500 Ole wako uonwe na katibu!!!
Haamini kabisa kuwa ndiye aliyempigia kura ndio anafanya hivyoView attachment 435501 Jamaa haamini ..... yake inavyomgaragaza!!!
Mukongo huyo
Imekuwaje tenaLema ndo anatesa police hivi!
Kikofia katika ubora wake*TANGAZO KWA WOTE*
Tunaomba wote mtoke KAPUKU FORUM(KF) asubuhi kuanzia saa 3 mpaka saa 7 mchana
Tunataka *KUPAKA RANGI*![]()
Tarehe hizi mi huwa nazipenda sana,hasa ninapokuwa ofisini,Utasikia mi nina hamu na tembele mwingine atadakia we acha tu alafu upate na dagaa wako alafu uchanganye na nyanya chungu weee mbona unaweza kumaliza ugali kilo nzima peke yako...Mwingine nae utasikia alafu ugali wenyewe uwe dona utakoma.....Muda wa kwenda home sasa utasikia mi sipandi Kifodi/Daladala...nafanya mazoezi..Lunch tym sasa...Mi leo sitakula na mantain figure........Ni kweli au...?????.
_Hapana chezea middle of month..._

Ndio uwe unaangaliaHalafu Unajua nilikuwa sijaona hiyo date!!!