Tupo werra habari ya weweWazima kabisa Mzee wa the blues
Lema ndo anatesa police hivi!
Niko poa MazeeTupo werra habari ya wewe
Na wewe utoke pia*TANGAZO KWA WOTE*
Tunaomba wote mtoke KAPUKU FORUM(KF) asubuhi kuanzia saa 3 mpaka saa 7 mchana
Tunataka *KUPAKA RANGI*![]()
Kafanyaje tena???Lema ndo anatesa police hivi!
Tarehe hizi mi huwa nazipenda sana,hasa ninapokuwa ofisini,Utasikia mi nina hamu na tembele mwingine atadakia we acha tu alafu upate na dagaa wako alafu uchanganye na nyanya chungu weee mbona unaweza kumaliza ugali kilo nzima peke yako...Mwingine nae utasikia alafu ugali wenyewe uwe dona utakoma.....Muda wa kwenda home sasa utasikia mi sipandi Kifodi/Daladala...nafanya mazoezi..Lunch tym sasa...Mi leo sitakula na mantain figure........Ni kweli au...?????.
_Hapana chezea middle of month..._

Na wewe utoke pia
Mimi ni mpaka rangi
Kafanyaje tena???
natafuta mchumba humu nitampata ?
mi naishi dar kibamba kama yumo nampeleka mpaka kwangu na siku hiyo tutakula ugali na kuku wa kuchoma maana ninafuga na ninajua kupika pia mimi ni dume