shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Ndio nduguNdugu zangu
Ndio nduguNdugu zangu
Unabidilisha sana suraunasemaje wewe?
Niajeee kitabugud moning'i
Morning QuigleyMorning family
kama kinyonga.Unabidilisha sana sura
Niajeee kitabu
Weka beiMmmmmh bukoba bei ya cement ni 20000-21000 labda bukoba ya uganda
vpNdio ndugu
Poa, Mambo yanaenda lakini
Yanasonga vp huko mkuuPoa, Mambo yanaenda lakini
Gazet linasema ilikuwa 16500 wakati ni 20000 tsh mpaka 21000 fedha halali kwa malipoWeka bei
Kweli asee, watu wanachakarika, wapi JimenaHumu kiiiiiiimya sanaaaaaaaa

Wazima kabisa Mzee wa the bluesHumu vipi wakuu
Wazima humu ndani