Makapuku Forum

Tarehe hizi mi huwa nazipenda sana,hasa ninapokuwa ofisini,Utasikia mi nina hamu na tembele mwingine atadakia we acha tu alafu upate na dagaa wako alafu uchanganye na nyanya chungu weee mbona unaweza kumaliza ugali kilo nzima peke yako...Mwingine nae utasikia alafu ugali wenyewe uwe dona utakoma.....Muda wa kwenda home sasa utasikia mi sipandi Kifodi/Daladala...nafanya mazoezi..Lunch tym sasa...Mi leo sitakula na mantain figure........Ni kweli au...?????.

_Hapana chezea middle of month..._
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…