Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,243
Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Paul Scholes, Kiungo fundi kabisa wa kiingereza, niwatakie siku njema.
Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Paul Scholes, Kiungo fundi kabisa wa kiingereza, niwatakie siku njema.
Hii ni bank hatari kwa Rais yoyote wa MarekaniLeo katika Historia:
1914 - Federal Reserve Bank yaanzishwa huko Marekani.
Hahaha...umenikumbusha mbaliKipindi hicho nilikuwa dogo lakini asubuhi asubuhi nadamkia nyumba ya jirani "tajiri" mwenye TV ya chogo
Kitambo sana
........
Wana uangalia sana mji mkongwe (stone town) Zanzibar1945 - Unesco yaanzishwa.
Ni shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia Elimu na Sayansi.
Ni Kati ya wachezaji bora kuwahi kutokea barani Africa1971 - Mustapha Hadji anazaliwa.
Winga wa zamani wa Aston Villa na timu ya taifa ya Morocco.
HBD Paul1974 - Paul Scholes anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Man Utd na timu ya taifa ya England. Ni zao la akademi ya Man Utd na alitokea katika " The class of 92 " kikosi cha vijana kilichochukua ubingwa wa F.A wa vijana akiwa na akina Gary na Phil Neville, Beckham, Nick Butty na Ryan Giggs.
Anatajwa kama moja ya viungo bora kabisa kuwahi kutokea Uingereza.
Alijua kupiga pasi za mbali zenye macho, kumiliki mpira na kupiga mashuti hasa mipira iliyokuwa nje ya 18 ( rebound ).
Alistaafu soka klabuni Man Utd mwaka 2011 kabla ya kurudi tena mwaka 2012 baada ya timu yake kukumbwa na majeruhi katika idara ya kiungo.
Leo hi ukiniuliza mchezaji gani aliyestaafu ningependa arudi Man Utd, probably atakuwa Scholes.
Kando ya Abedi Pele, Kalusha Bwalya n.kNi Kati ya wachezaji bora kuwahi kutokea barani Africa
Hepi besdei liviNawatakia asubuh njema ..nimebahatika kuongeza mwaka mwingine ..happy birthday to me

Asante sana kwa leo katika historia bora kabisa mkuu mussolinLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Paul Scholes, Kiungo fundi kabisa wa kiingereza, niwatakie siku njema.
1930 - Chinua Achebe anazaliwa.
Ni mwandishi nguli wa Fasihi kutoka nchini Nigeria.
Baadhi ya kazi zake ni Things Fall A part, No longer At Ease na A Man Of The People.
Mi nilikuwa najiumauma tu km JPM darasa zima linaangua kichekoNilikuwa ndio msomaji wa vitabu vya kiingereza darasani,wenzangu wote walikuwa vilazza.😀😀😀😀😀😛😛😛
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛Mi nilikuwa najiumauma tu km JPM darasa zima linaangua kicheko
Tangu msingi nilikuwa najua kuchora picha/zamani/katuni ndiyo maana hadi leo napebda sana katuni
![]()
![]()
...............
George Weah, japo huyu ni kama wafanyabiashara wa Italy walimpaishaKando ya Abedi Pele, Kalusha Bwalya n.k
1961 - Frank Bruno anazaliwa.
Ni bondia wa zamani wa uzito wa juu wa toka nchini Uingereza.
HBD big boyz.1971 - Mustapha Hadji anazaliwa.
Winga wa zamani wa Aston Villa na timu ya taifa ya Morocco.
Aliujua sana. Hivi ilikuwaje mpk wazungu wakampa tuzo ya Ballon D'orGeorge Weah, japo huyu ni kama wafanyabiashara wa Italy walimpaisha
Halafu hakuwa na Mboyoyo, Mkimyaaaa!!!1974 - Paul Scholes anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Man Utd na timu ya taifa ya England. Ni zao la akademi ya Man Utd na alitokea katika " The class of 92 " kikosi cha vijana kilichochukua ubingwa wa F.A wa vijana akiwa na akina Gary na Phil Neville, Beckham, Nick Butty na Ryan Giggs.
Anatajwa kama moja ya viungo bora kabisa kuwahi kutokea Uingereza.
Alijua kupiga pasi za mbali zenye macho, kumiliki mpira na kupiga mashuti hasa mipira iliyokuwa nje ya 18 ( rebound ).
Alistaafu soka klabuni Man Utd mwaka 2011 kabla ya kurudi tena mwaka 2012 baada ya timu yake kukumbwa na majeruhi katika idara ya kiungo.
Leo hi ukiniuliza mchezaji gani aliyestaafu ningependa arudi Man Utd, probably atakuwa Scholes.
pamoja sana kiongoziAsante sana kwa leo katika historia bora kabisa mkuu mussolin
Jamaa alikuwa anajua sana kufunga na alikuwa na speed kubwa sana ya kukimbiaAliujua sana. Hivi ilikuwaje mpk wazungu wakampa tuzo ya Ballon D'or