Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Hongera, uwe na maisha marefuNawatakia asubuh njema ..nimebahatika kuongeza mwaka mwingine ..happy birthday to me
Hongera, uwe na maisha marefuNawatakia asubuh njema ..nimebahatika kuongeza mwaka mwingine ..happy birthday to me
Safi, habariMambo!
Njema mkuu, kumekucha na kimvua flan hivSafi, habari
Faini senkyuHawayu???
Kwahiyo, unaenda job ama unalala mpaka mvua ikatike?Njema mkuu, kumekucha na kimvua flan hiv
Ohooo, kazi kama kawaida, alaaaKwahiyo, unaenda job ama unalala mpaka mvua ikatike?
Hahaha.... Hutaki utani sioOhooo, kazi kama kawaida, alaaa
Asante mr QuigleyHongera, uwe na maisha marefu
Natamani niweke shift 24hrs kaz ipigwe tuHahaha.... Hutaki utani sio
Dah... Propose hiyo Mr. QuigleyNatamani niweke shift 24hrs kaz ipigwe tu
Inakuja soonDah... Propose hiyo Mr. Quigley
Sawa Mr. Kazi njemaInakuja soon
HBD liviNawatakia asubuh njema ..nimebahatika kuongeza mwaka mwingine ..happy birthday to me
Leo katika Historia:
1914 - Federal Reserve Bank yaanzishwa huko Marekani.
1945 - Unesco yaanzishwa.
Ni shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia Elimu na Sayansi.