Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,243
- Siku ya kisukari Duniani.
- Siku ya kisukari Duniani.
Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Google, niwatakie siku njema.
- Siku ya kisukari Duniani.
Ni miongoni mwa magonjwa sugu yanayosababisha vifo vingi duniani. Tufanye mazoezi na kuepuka ulaji mbaya km wa nguruwe
Ahsante kwa historia
Nawatakia siku njema
........
Pamoja.![]()
![]()
![]()
Ni miongoni mwa magonjwa sugu yanayosababisha vifo vingi duniani. Tufanye mazoezi na kuepuka ulaji mbaya km wa nguruwe
Ahsante kwa historia
Nawatakia siku njema
........
usiwaze boss, pamoja.![]()
alaaaaa kumbe nimepitilizaaaaaaaaaaaa
Hapa ndio aliacha darasa la tano?tumetoka mbali, mcheki mwiguku enzi hizoView attachment 434024
Hata cjuiHapa ndio aliacha darasa la tano?
kwema lakini?Hata cjui
How old was he???
HBD Vermalen1985 - Thomas Vermaelen anazaliwa.
Ni beki wa Ubelgiji anayechezea klabu ya Roma kwa mkopo akitokea Barcelona.
Pia amewahi kukipiga Ajax na Arsenal.
Ni mchezaji aliyeshinda Uefa champions league akiwa na Barca bila kucheza mechi hata moja.
Ashe BabalaiLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Google, niwatakie siku njema.
Anajifunua? Ngoja nimchunjulieBadala ya Kula kimya unajifunua ngoja wenyewe waje wakutupe gerezani
