Makapuku Forum

Makapuku Forum

1479097593957.png
 
Hivi unakumbuka ile time uko shule unatoka darasani kwako unaenda darasa jingine kufuata washkaji au dem wako ghafla anaingia mwalimu anasema everyone kneel down........... Kiherehere chako kinakuponza
hii iliwahi kunitokea aisee kipindi hicho niko form 2 nimetoka class form 2A nikaenda form 2C ebwana kidogo mwl huyu hapa akatoa adhabu darasa zima kung'oa bonge la kisiki plus viboko 3 ilibidi nimfingukie kuwa mi sihusiki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom