Makapuku Forum

Makapuku Forum

whatsapp%2Bfunny%2Bimage%2Bfree-1201%2B(3).jpg
 
1985 - Thomas Vermaelen anazaliwa.

Ni beki wa Ubelgiji anayechezea klabu ya Roma kwa mkopo akitokea Barcelona.

Pia amewahi kukipiga Ajax na Arsenal.

Ni mchezaji aliyeshinda Uefa champions league akiwa na Barca bila kucheza mechi hata moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom