Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
RIP Arafat2004 - Yasser Arafat anafariki Dunia.
Alikuwa ni kiongozi wa Mamlaka ya Palenstina.
Nahisi ni majeruhi au kakosa number, maana sijamuona msimu huu1983 - Arouna Kone anazaliwa.
Straika wa zamani wa Wigan na timu ya taifa ya Ivory Coast ambaye kwasasa anakipiga Everton.
Itakuwa majeruhi.Nahisi ni majeruhi au kakosa number, maana sijamuona msimu huu
InawezekanaItakuwa majeruhi.
- Leo ni Remembrance Day huko Uingereza.
Ni siku ya kuwakumbuka mashujaa wote waliopoteza uhai wao vitani kwa ajili ya nchi yao.
Wanakumbukwa wanajeshi wote waliopoteza uhai wao katika uwanja wa mapambano, Wale waliopotea na kutojulikana walipo toka katika uwanja wa kivita (Missing In Action ) kuanzia vita kuu ya kwanza ya Dunia.
Waingereza huvaa maua ya poppy katika kuwaenzi na ibada ya kuwakumbuka itafanyika jumapili hii.
Ilikuwa ni vigumu sana kujua kama anacheza beki, maana si kwa kupanda hukoLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Philip Lahm niwatakie jioni njema.
1984 - Martin Luther King Sr anafariki Dunia.
Alikuwa ni kiongozi wa Dini na mwanaharakati toka nchini Marekani.
Alikuwa ni baba mzazi wa Martin Luther King Jr.
R.i.p the fallen soldiers!
Wachezaji 15 wa Man Utd walifia vitani
......
1990 - Georginio Wijnaldum anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Fayernood, Newcastle ambaye kwasasa anakipiga Liverpool na timu ya taifa ya Uholanzi.
Mimi anachonifurahisha ni kuwa acheze kwenye Full back ama wing back daima anashambulia.Ilikuwa ni vigumu sana kujua kama anacheza beki, maana si kwa kupanda huko
1988 - Kyle Naughton anazaliwa.
Beki wa kulia wa Swansea kutoka nchini Uingereza.
Pia aliwahi kukipiga Tottenham.
1983 - Philip Lahm anazaliwa.
Beki wa kulia wa klabu ya Bayern Munich.
Ametwaa Kombe la Dunia mwaka 2014 akiwa nahodha wa Ujerumani.
Pia ametwaa ubingwa wa Ulaya mwaka 2013 akiwa na klabu yake ya Bayern.
Ni zao la akademi ya Bayern Munich na hajawahi kuhama klabu.
Mmoja kati ya wachezaji wachache wenye nidhamu ya hali ya juu kwani hajawahi kabisa kupewa kadi nyekundu licha ya kucheza kwenye idara ya Ulinzi.
Kwangu mimi huyu ni shujaa asiyeimbwa kwani amekuwa nyuma ya mafanikio ya klabu na timu yake ya taifa, hapewi sifa anazostahili. ( He is so underrated )
1983 - Arouna Kone anazaliwa.
Straika wa zamani wa Wigan na timu ya taifa ya Ivory Coast ambaye kwasasa anakipiga Everton.
1983 - Philip Lahm anazaliwa.
Beki wa kulia wa klabu ya Bayern Munich.
Ametwaa Kombe la Dunia mwaka 2014 akiwa nahodha wa Ujerumani.
Pia ametwaa ubingwa wa Ulaya mwaka 2013 akiwa na klabu yake ya Bayern.
Ni zao la akademi ya Bayern Munich na hajawahi kuhama klabu.
Mmoja kati ya wachezaji wachache wenye nidhamu ya hali ya juu kwani hajawahi kabisa kupewa kadi nyekundu licha ya kucheza kwenye idara ya Ulinzi.
Kwangu mimi huyu ni shujaa asiyeimbwa kwani amekuwa nyuma ya mafanikio ya klabu na timu yake ya taifa, hapewi sifa anazostahili. ( He is so underrated )
1977 - Maniche anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Porto, Chelsea, Benfica, Inter Milan, Atletico Madrid na timu ya taifa ya Ureno.
Alitwaa taji la ligi ya mabingwa ulaya mwaka 2004 akiwa na Porto ya Mourinho.