Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,165
Ahaaaaaaa mkuu mzee kakaba ...hakuna namna lets America be stronger again

Ahaaaaaaa mkuu mzee kakaba ...hakuna namna lets America be stronger again

Na ubaya yale majimbo yaliyokuwa wazi kwa mama ,mzee angekuwa bongo tungesema amesepaa na kijiji

Na ubaya yale majimbo yaliyokuwa wazi kwa mama ,mzee angekuwa bongo tungesema amesepaa na kijiji![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Jimbo jingine la ohio mzee 216 kwa 202
D.H.A.R.A.UNimeshangaa kweli eti uzi ule tusome tu ila hakuna kuchangia chochote.
Ha ha asante kwa update mkuu wengine tupo job hatujui nin kinaendeleaJimbo jingine la ohio mzee 216 kwa 202
Simpendi Domokaya Trump lakini naona anakaribia kushinda sasa wahamiaji USA + Islam watakomaNa ubaya yale majimbo yaliyokuwa wazi kwa mama ,mzee angekuwa bongo tungesema amesepaa na kijiji![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Trump amrshinda FloridaKwelii..ila calfonia imembeba mama kabeba 55..imemuweka mbele
Duuuuuh Florida kachukua 29 Atari sasaSimpendi Domokaya Trump lakini naona anakaribia kushinda sasa wahamiaji USA + Islam watakoma
Jamaa mbaguzi sana
.......
Wamarekani sio watu wa sportsport hawaangalii chama tawala wala niniDuuuuuh Florida kachukua 29 Atari sasa
Hehehe.... Gubbu linaua mzee, kuwa mpole!!Ha ha mimi najua mungu atatenda miujiza. Yaani marekani iongozwe na tramp![]()
![]()
![]()
![]()
. Ningekuwa mungu ninge mpa tu Clinton ushindi basi
![]()
![]()
![]()
Georgia kwa mr T
Duh.. Pole sanaSimpendi Domokaya Trump lakini naona anakaribia kushinda sasa wahamiaji USA + Islam watakoma
Jamaa mbaguzi sana
.......
Si habaKwelii..ila calfonia imembeba mama kabeba 55..imemuweka mbele
Kikawaida siyo kivileDuh.. Pole sana