Makapuku Forum

Makapuku Forum

Naona upepo umebadilika tofauti na matarajio ya wengi.

Team Trump tunashangilia.

Team Clinton subirini bado mna nafasi kubwa tu
Alafu huyu mama wanaomshabikia wengi ni wanawake .. Hata ukisikia wapiga kura wa kike wakihojiwa wengi sababu zao ni kwakuwa ni mwanamke mwenzao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom