Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ila jamaa wamekuwa "wakubwa" now wamejisahau
Lakini Makapuku halisi tutaendelea kuwepo wakati wa shida(thread kupungua kasi) na raha(thread inapochangamka)
Once a kapuku always a kapuku
.........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
KWELI mkuu ..hii taarfa ya 150 kwa mr zidi ya 109 kwa Mrs..wengi naona imewashtua...japo mm nmefurahii
Ha ha mimi najua mungu atatenda miujiza. Yaani marekani iongozwe na tramp[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] . Ningekuwa mungu ninge mpa tu Clinton ushindi basi[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom