HC kipindi cha kampeni alikuwa na washabiki wengi, ila now naona washabiki wa DT wazidi kuongezekaTrump kapata mashabiki wengi kweli
Acheni fixLeo tuko bize na uchaguzi
Wameongezeka sana tuHC kipindi cha kampeni alikuwa na washabiki wengi, ila now naona washabiki wa DT wazidi kuongezeka
Trump ndo anatoa speech yake hapa juu ya ushindi alioupataHilary hataamini aisee
Anaona cjui ni kujipendekeza!Utamaduni wetu ni salamu, asikuchanganye huyu
Poa sana ndgVip pande hizo
sawa.naomba niwe muweka hazina
Hazina gani?naomba niwe muweka hazina