Makapuku Forum

Kigoma na maeneo ya mkoa wa Kagera, hasa Ngara tunatofauti ya saa 1
Wote tunatumia muda mmoja
Ina maana taarifa ya habari ITV wanaona SAA 1 kwa saa zao ?

Ninachojua tunatofautiana muda wa jua kuzama/kuchomoza sehemu nyingi tu Tz lakini wote tunatumia One Time Zone
...........
 
Ukitaka kujua nenda na smartphone, ukifika Ngara inarudi saa moja nyuma au manyovu kigoma
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…