Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Na wewe piaNawatakia siku njema
Na wewe piaNawatakia siku njema
Na kwako piaNawatakia siku njema
Beki wa kati kama RioWe ni beki???
Leo katika Historia:
1960 - John F. Kennedy anamshinda Richard Nixon katika uchaguzi mkuu wa Marekani.
Ni moja kati ya Chaguzi zilizovuta hisia za wengi kwani John F. Kennedy alishinda kwa tofauti ndogo sana.
1957 - Alan Curbishley anazaliwa.
Ni kocha wa zamani wa Chalton Athletics, West Ham United na sasa ni mchambuzi wa soka.
1980 - Luis Fabiano anazaliwa.
Ni straika wa zamani wa Sevilla na timu ya taifa ya Brazil.
Kumekucha salama makapuku wenzangu
Morning family
Kumekucha
Nawatakieni asubuhi njema & all makapukuMorning all kapuku
Ni poa sana ankali, habari ya daslam?Niajeee briz
AmeeenKila utendalo lifanikiwe
1981 - Joe Cole anazaliwa.
Winga wa zamani wa West Ham, Chelsea, Liverpool na timu ya taifa ya England.
Alitajwa kama mchezaji mwenye uwezo mkubwa sana wakati anachipukia, lakini hakufikia matarajio ya wengi.