Tulicheza vizuri kipindi cha kwanza, kipindi cha pili hatukuwa vizuri.
Carrick ni mtu muhimu sana anapaswa kupewa muda kwenye kikosi Maana anajua kuituliza timu, si unajua safari bila wazee hainogi.
Point 3 za leo zitatu-boost kwenye mechi ijayo dhidi ya Arsenal.
Nafasi bado tunayo...