Makapuku Forum

2000 - Bibi Titi Mohamed anafariki Dunia.

Alikuwa ni mwanasiasa toka nchibi Tanzania.

Alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la kutaka kupindua Serikali ya Nyerere mwaka 1969-1970 akiwa na Lifa Chipaka na Oscar Kambona aliyeratibu jaribio hilo akiwa Ughaibuni.

Alifungwa kwa uhaini mpaka alipokuja kupata msamaha wa Rais Nyerere na kurudi tena kuwa swahiba wake.

Ni moja kati ya wanawake waliopitia magumu mengi enzi za uhai wake. Huyu ni Iron Lady wa Tz.
 
 
Apumzike kwa amani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…