Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Nov 5, 2016 #124,709 Asanteni sana kwa kuwa pamoja nami, jina langu naitwa Jimena Jimenes Muwe na siku njema na sabato njema kwa wote wanaoitii
Asanteni sana kwa kuwa pamoja nami, jina langu naitwa Jimena Jimenes Muwe na siku njema na sabato njema kwa wote wanaoitii
B brightoni Member Joined Aug 23, 2015 Posts 86 Reaction score 17 Nov 5, 2016 #124,710 Ushauri wangu kwa rais ashuhurikie katiba kwanza ili mambo ya hovyohovyo yashugulikiwe kikatiba bila hivyo hataweza kuinyoosha nchi
Ushauri wangu kwa rais ashuhurikie katiba kwanza ili mambo ya hovyohovyo yashugulikiwe kikatiba bila hivyo hataweza kuinyoosha nchi
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Nov 5, 2016 #124,711 Jimena said: View attachment 429524View attachment 429525 Asanteni sana kwa kuwa pamoja nami, jina langu naitwa Jimena Jimenes Muwe na siku njema na sabato njema kwa wote wanaoitii Click to expand... Ahsante sana katibu JJ.
Jimena said: View attachment 429524View attachment 429525 Asanteni sana kwa kuwa pamoja nami, jina langu naitwa Jimena Jimenes Muwe na siku njema na sabato njema kwa wote wanaoitii Click to expand... Ahsante sana katibu JJ.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Nov 5, 2016 #124,712 Leo katika Historia: 1912 - Woodrow Wilson anachaguliwa kuwa Rais wa 28 wa Marekani.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Nov 5, 2016 #124,713 1925 - Jasusi wa Kiingereza Sidney Reilly ananyongwa mpaka kufa huko Moscow, Urusi. Alikuwa ni Jasusi mahiri zaidi katika karne ya 20 na alijulikana kama " Super Spy ".
1925 - Jasusi wa Kiingereza Sidney Reilly ananyongwa mpaka kufa huko Moscow, Urusi. Alikuwa ni Jasusi mahiri zaidi katika karne ya 20 na alijulikana kama " Super Spy ".
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Nov 5, 2016 #124,714 1925 - Jasusi wa Kiingereza Sidney Reilly ananyongwa mpaka kufa huko Moscow, Urusi. Alikuwa ni Jasusi mahiri zaidi katika karne ya 20 na alijulikana kama " Super Spy ".
1925 - Jasusi wa Kiingereza Sidney Reilly ananyongwa mpaka kufa huko Moscow, Urusi. Alikuwa ni Jasusi mahiri zaidi katika karne ya 20 na alijulikana kama " Super Spy ".
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Nov 5, 2016 #124,715 2006 - Rais wa zamani wa Iraq Saddam Hussein anahukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kuwaua washia 148 mwaka 1982.
2006 - Rais wa zamani wa Iraq Saddam Hussein anahukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kuwaua washia 148 mwaka 1982.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Nov 5, 2016 #124,716 2007 - Simu za Android zatangazwa rasmi kwa mara ya kwanza na kampuni ya Google.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Nov 5, 2016 #124,717 1962 - Abedi Pele anazaliwa. Ni staa wa zamani wa Marseille, Lyon na timu ya taifa ya Ghana. Ametwaa Kombe la Mataifa Huru ya Afrika mwaka 1982 akiwa na kikosi cha Ghana. Pia ametwaa ubingwa wa Ulaya akiwa na Marseille mwaka 1993.
1962 - Abedi Pele anazaliwa. Ni staa wa zamani wa Marseille, Lyon na timu ya taifa ya Ghana. Ametwaa Kombe la Mataifa Huru ya Afrika mwaka 1982 akiwa na kikosi cha Ghana. Pia ametwaa ubingwa wa Ulaya akiwa na Marseille mwaka 1993.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Nov 5, 2016 #124,718 1986 - Kasper Schmeichel anazaliwa. Ni golikipa wa Leicester City na timu ya taifa ya Denmark.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Nov 5, 2016 #124,719 1992 - Marco Veratti anazaliwa. Ni staa wa PSG na timu ya taifa ya Italy. Kutokana na uwezo mkubwa aliokuwa nao wa kumiliki mpira na kutoa pasi murua anatajwa kama Andrea Pirlo mpya.
1992 - Marco Veratti anazaliwa. Ni staa wa PSG na timu ya taifa ya Italy. Kutokana na uwezo mkubwa aliokuwa nao wa kumiliki mpira na kutoa pasi murua anatajwa kama Andrea Pirlo mpya.
Tetramelyz JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 4,369 Reaction score 12,469 Nov 5, 2016 #124,720 Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1912 - Woodrow Wilson anachaguliwa kuwa Rais wa 28 wa Marekani. Click to expand...
Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1912 - Woodrow Wilson anachaguliwa kuwa Rais wa 28 wa Marekani. Click to expand...