1972 - Luis Figo anazaliwa.
Ni nyota wa zamani wa Barca, Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno.
Uhamisho wake toka Barca kwenda Real Madrid ulizua gumzo kubwa hali iliyopelekea Mashabiki wa Barcelona kumrushia kichwa cha Nguruwe aliporudi Nou Camp akiwa na Real Madrid.