Kuumbe!!!1971 - Robert Mensah anafariki.
Ni golikipa wa zamani wa Asante Kotoko Kumasi na timu ya taifa ya Ghana.
Ni moja kati ya magolikipa bora kuwahi kutokea katika bara hili la Afrika. Alikuwa na mbwembwe nyingi sana uwanjani.
Alikuwa akipenda kuvaa kofia awapo uwanjani hali iliyompelekea wachezaji wa timu za upinzani kuhisi jamaa anatumia juju kwenye kofia hiyo.
Aliuwawa kizembe kwa kupenda kwake ukorofi awapo mtaani.
Juma Pondamali " Mensah " aliiga jina lake.
Jana kapotezwa MessiLeo katika Historia:
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Messi Messaya muwe na siku njema.
Ukuta wa Berlin[emoji12]Sisi ni wazee wa Clean sheet.
Yeah!! Leo nilikuwa Singapore ya tiziiMkongo mwee....nambie bado upo Tz? [emoji4]
Haya, alaf kakojoe ulaleWewe sio shabiki
[emoji40]Leo watu hawasemi
We ungekubali???[emoji4]Hayo ni mazoezi tu
[emoji87] una leseni ya magari makyubwa???
FureshWapendwa famili habari za wakati huu
[emoji1] [emoji1] kitambo sanaKuna moja, ilikuwa mechi borntown na bush, Sasa kule bush wakati wanasikiliza mpira kupitia radio, gafla wakafungwa, kijiji kizima kinasikitika, shabiki mmoja akavunja radio na shoka kwa kigezo kuwa radio imesababisha wafungue,Sasa sijui radio nayo ilikuwa inacheza [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mpaka ya magari madogo ninayo[emoji87] una leseni ya magari makyubwa???
Bon nuit papaaFuresh
Mpaka ya magari madogo ninayo
Bon nuit papaa
Poa mkuuWakuu habari zenu!
Njema kabisa habari ya asubuhiWakuu habari zenu!
Nasi hatuna budi kuwajibika ili kuweka mambo sawaKumekucha salamaaa...