Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,322
- 68,399
Goli la pili lilipofungwa akaita kati halafu akakataa baadae kusema sio goli.Mahaba gani? maana mi matukio sijaona vzr
AzamTv wenyewe wanaficha matukio hata hawaeleweki
Wanaonyesha mpira au wanatangaza km redio maana matukio muhimu hawaonyeshi vizuri kuondoa utata
....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ujinga wanao ndalaAhaaaaaaaah atufanyagii ujingaa
Yanga mbeya hatoki na point hata moja[emoji12] [emoji12] [emoji12]Goli la pili lilipofungwa akaita kati halafu akakataa baadae kusema sio goli.
Baada ya Mbeya city kugoma na kutishia kutoka akakubali kuwa ni goli halali.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...mbaya sijui walifikiri kaitaba??[emoji23] [emoji23] [emoji23] ujinga wanao ndala
Si ndio kwanza tumemrudisha jamani...Pulujimu OUT Bwahahahaaa
Sisi ni wazee wa Clean sheet.Simba hatufungwi na vitimu vya kipuuzi[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] Sokoine hapa ni koma kumwanya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...mbaya sijui walifikiri kaitaba??
Simba ni hatariMara hooooo Stand atamfunga simba
wameanza si kocha bora huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si ndio kwanza tumemrudisha jamani...
Kiboko [emoji23] [emoji23] [emoji23]Simba ni hatari
Kwenye viwanja vyenye matuta kama kambarage huwa tuna kuwa wazur zaid[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sisi ni wazee wa Clean sheet.
Poleni wana yangaTukio hilo sijaliona labda nilikuwa nacheki Simba....Simba anaongoza [emoji637] via penalty
Maana niliona anaharibu mechi tu
.........
Kiboko [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaaaah......[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji276]Poleni wana yanga
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] ndo maana hamshindi
Owooooo!Aaaaah......[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji276]
We Mukongo!!![emoji4]
Na Mukongo [emoji87]Jonax
Shululu
Quigley
Mussolin5
Macaveli10
Jimenna Jimenes
Tetramelys
Sacajo
Bitoz
Cobblepots
Mkushi wa kusi
Kitabu
Kitwanga....Miss you guys...haya ni maisha tu yanafanya nashindwa kutokea mara kwa mara ila sijawaacha nikiwa napata nafasi kama hivi nadumbukia nagonga likes....tunaendelea![emoji4]