shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Waingeleza nao ni shidaFIFA imezuia waingereza kuvaa maua ya Poppy kwenye jezi zao siku ya mechi ya kufuzu World Cup dhidi ya Scotland, November 11.
View attachment 427631
Waingeleza nao ni shidaFIFA imezuia waingereza kuvaa maua ya Poppy kwenye jezi zao siku ya mechi ya kufuzu World Cup dhidi ya Scotland, November 11.
View attachment 427631
Mkuu dikteta uzima upo?
Thank you mussolinLeo katika Historia OG:
Sina la ziada kwa udhamini mnono wa Google, muwe na siku njema.
MusamiliePoa sana
Asante sana kwa historia MwenyekitiLeo katika Historia OG:
Sina la ziada kwa udhamini mnono wa Google, muwe na siku njema.
DuuMoto umewaka bandarini kati ya moja ya makontena
Zima moto wamesha fika na kuuzima
Asante na kwako piaMchana mwema makapuku
AsendeMchana mwema makapuku
Wamefanikiwa kuuzima?Moto umewaka bandarini kati ya moja ya makontena
Zima moto wamesha fika na kuuzima
Jioni njema makapukuMchana mwema makapuku