Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
1982 - Kampuni ya Honda ya Asia yawa kampuni ya kwanza toka Asia kuanza kuzalisha magari huko nchini Marekani.
Sawa Lodi LofaNawarushia tope na vumbi mpaka mrudi vijijini kwenu
Now nimekuwa Lord baada ya kuuza kambale
Jioni nitamleta Pimbi
........
1973 - Leon Jaworski anateuliwa kuwa mpelelezu mkuu wa skendo ya Watergate huko Marekani.
Happy Birthday Karume1948 - Amani Abeid Karume anazaliwa.
Ni mtoto wa Rais wa kwanza wa Zanzibar.
Ni mhasibu na mwanasiasa toka Zanzibar.
Alikuwa ni Rais wa 6 wa visiwa vya Zanzibar.
1981 - Nchi ya Antigua na Berbuda yajipatia Uhuru wake toka kwa Uingereza.
1982 - Kampuni ya Honda ya Asia yawa kampuni ya kwanza toka Asia kuanza kuzalisha magari huko nchini Marekani.
1993 - Umoja wa Ulaya waanzishwa na makao makuu yake ni huko Brussells Ubelgiji.
1948 - Amani Abeid Karume anazaliwa.
Ni mtoto wa Rais wa kwanza wa Zanzibar.
Ni mhasibu na mwanasiasa toka Zanzibar.
Alikuwa ni Rais wa 6 wa visiwa vya Zanzibar.
Ubeleji1993 - Umoja wa Ulaya waanzishwa na makao makuu yake ni huko Brussells Ubelgiji.
HBD karume1948 - Amani Abeid Karume anazaliwa.
Ni mtoto wa Rais wa kwanza wa Zanzibar.
Ni mhasibu na mwanasiasa toka Zanzibar.
Alikuwa ni Rais wa 6 wa visiwa vya Zanzibar.
Asante sana diktetaLeo katika Historia OG:
Sina la ziada kwa udhamini mnono wa Google, muwe na siku njema.
Pamoja mzeeAsante sana dikteta
FIFA imezuia waingereza kuvaa maua ya Poppy kwenye jezi zao siku ya mechi ya kufuzu World Cup dhidi ya Scotland, November 11.Asante sana dikteta
Poa sana![]()
nineshindwa iSee
Niko poa though....shemu ameamkaje??