Happy birthday Guti1976 - Guti anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania.
Asante kwa historia mwenyekiti.. Nikajua mbao ndio watadhamini hii manenoLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Shululu anko ake na JJ niwatakie siku njema.
Haina kwereSenkyu Semegi
R I PBreaking Newz
Bondia Thomas Mashali amefariki baada ya kuitwa mwizi na kupigwa mapanga.
Hii nayo inataka mtu unywe maji mengi sana ili kuielewaClouds wanasema Kina Mashali walikuwa wanapiga Tungi maeneo ya Kimara, basi Mashali akatoka kutembeatembea huko ndiko akazinguana na mtu, huyo akamwitia mwizi!!!
LolDah!!!
Nilikuwa nikisikia watu wakisifu Oman,Oman.
Sasa ndio kwanza ninawasili kwenye nyumba ya familia ya Bosi wangu,Mjini Muscat.Nilijisikia furaha sana Kwa ukaribisho wa shangwe toka kwa watoto wa Bosi.
Watoto walikuwa wakiniimbia kwa Kiarabu.
"Himaru Jadeed”
“Himaru Jadeed”
“Himaru Jadeed
Nilijisikia furaha mno,Nami nikajiunga nao na Kudansi
Baada ya miezi michache na jinsi siku zinavyosonga mbele nilijifunza Kiarabu.Nilipatwa na Mfadhaiko baada ya kujua kwamba
“Himaru Jadeed”
Maana yake ni Punda Mpya
Duh ! ! !
Urudi nazo nyumbani tafadhaliNi kweli lakini mbichi zinakua bado na nutrients kwa asilimia 100
Nakubaliana na weweJamaa alikuwa na kikundi chake cha watoto anawatuma kuiba.
Yaani kwa kifupi ni mbabe sana aliyemiliki vikundi hatari kwa usalama wa raia.
Japo kifo chake sijajua kimetokana na nini hasa lakini naamini Wizi umechangia kwa kiasi flani.
Mukongo usemi wako unazidi kujidhihilisha
Mi sio mukongo weweMukongo usemi wako unazidi kujidhihilisha
Nyuma Yuko empty huyo
sasa hawa udakutz si waandike udaku tu waache taarifa seriouz ziripotiwe na wengine,au misiba nayo siku hizi ni udaku
Sasa we nyuma kun kuhusu nini wabongo banaNyuma Yuko empty huyo
habari yako mkuu?Sasa we nyuma kun kuhusu nini wabongo bana