Thanks JJ for newspaperzView attachment 426459View attachment 426460View attachment 426461
Sina la ziada jumapili ya Leo
Kwa udhamini mnono kabisa wa Pluijim ndio naondoka kama ifuatavyo.
Naitwa Jimena Jimenes
Adios
Morning brizGmorning fellaz
Hata sikumbuki mimi niliifuma tu tread, nafikiri ukii search kwa kuandika neno mfalme wa morocco itakujaUzi wa Mfalme wa Morocco ipo jukwaa gani? Nilisahau kusubscribe
.....
Ww si uliparticipate sasa thread utashindwaje kuijua ilipo au kuleta linkHata sikumbuki mimi niliifuma tu tread, nafikiri ukii search kwa kuandika neno mfalme wa morocco itakuja
KaribuThanks Ankali
PleasureThanks JJ for newspaperz
Mfalme toziWw si uliparticipate sasa thread utashindwaje kuijua ilipo au kuleta link
Labda iwe imefutwa
...
Sijaona kitu
Leta link
......
CelebrityView attachment 426486
Hebu check hapo juu unaweza kugundua ni jukwaa gan, mimi sio mzuri sana huwa nasoma tread mpya zinazo display bila kufuatilia ni jukwaa gani
Nishazoea sasaPoleni kwa vumbi
Haha namuonaga kikofia.. Hatakagi ujingaMimi napitaga majukwaa mengi sema sitakagi kuchangia km wapenda sifa ambao kila thread wanareplu ili "_wafahamike"
Mi ht Great Thinker & Intelligence + Technology nipo sana ila kimyakimya namuonaga Kikofia anajambisha Jamii Intelligence
.....
Morning muzee ya lubumbashi, habari ya wap sasa parii ama goma?Morning briz
Mamboz JJ?Karibu
Kakaa kishogashoga
Anarembua
......
Uko machimboni mkuu!Nishazoea sasa
Doh! Kumbe mfalme ni chakula ya wana!!!Kakaa kishogashoga
Anarembua
......
Kikofia ukimkuta kwenye kona zake, madaha +madoidoHaha namuonaga kikofia.. Hatakagi ujinga
Dah?! Nishakua kama wazee wa mbuguni sasa... Kila nikimaliza chimbo moja najikuta naingia ndani zaidiUko machimboni mkuu!
Hiyo ni poa sana, napendaga hiyo, ukirudi mjini unafanya mambo ya maana hadi inapendezaDah?! Nishakua kama wazee wa mbuguni sasa... Kila nikimaliza chimbo moja najikuta naingia ndani zaidi