Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,228
- 39,956
Wamedroo 1 - 1
Tena Tottenham wamechomoa!!!Wamedroo 1 - 1
Tena Tottenham wamechomoa!!!Pamoja mukongoPoleni sana Bablai
Nipo kilabuni nalewa zen naenda kulalaPoleni sana Man,mmekosa gori nyingi sana, nimeangalia takwimu mmeshambulia mara 37
Mambo vipi wadau. Naombeni niwe nawapa update kwa highlights zamechi kali za siku
Naomba kuanza nahii ya Arsenal aliyomtadika mtu nne
Mambo vipi wadau. Naombeni niwe nawapa update kwa highlights zamechi kali za siku
Naomba kuanza nahii ya Arsenal aliyomtadika mtu nne
Hii game ni ya kas sana mbna
Duh!!!
hii ni open game, naona mpaka saa hizi goli 4 tayari!!!Aisee, itakuwa game zuri, ngoja niichek
Ngoja nielekee kibanda umiza. KaichekAisee, itakuwa game zuri, ngoja niichek

Sana sana roho itakuumaNgoja nielekee kibanda umiza. Kaichek
![]()
![]()
![]()
![]()