Makapuku Forum

Kuna ile mechi ya waporipori na watoto wa mjini, nilikuwa naikubali sana.
Born Town v Bush Star
Kila siku lazima DK za majeruhi lifungwe goli
Kila siku lazima Mapungo ang'are
Red card karibu kila mechi
Bush Star hupasha porini hukalia moto,huchemshwa kwenye vyungu ,kupiga msamba juu ya mawe n.k
Duh kitambo sana
.....
 
Kulikuwa kuna chezaji mmoja hv ana kichwa cha ajabu sana na chenye kisogo kikali
Sijui walikuwa wanamuita "chepe" I dnt know
 
KAPUKU'S SPECIAL EDITION: BEST OF NEW KIDS ON THE BLOCK

Hapa wamekuwa wababa sasa.

2 in the morning.....

Summertime

Single ft Neyo

Hapa bado watoto wadogo. (Good Old Timez)
Mwanagalie Jordan mzee wa Swagger alikuwa mdogo balaa.

Step by step

I'll be loving you forever

Sweetiepie , Jimena , briz , shululu , Mussolin5 , Bitoz , jonax , werrason
 
Kulikuwa kuna chezaji mmoja hv ana kichwa cha ajabu sana na chenye kisogo kikali
Sijui walikuwa wanamuita "chepe" I dnt know
Ngoja nifanye juu chini nitafute vile vitabu vya zamani maana nimekumbuka mengi....baada ya Sani kubanga likaja Bongo(copy & paste) maana walibadili wahusika tu lakini swaga waliiga kisha likaja Kingo
.......
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…