Kumekucha, tunapambana tena na siku nyingine kabisa mpya kwetuKumekucha
1980 - Alan Smith anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Leeds United, Man United na Newcastle United pamoja na timu ya taifa ya England.
Alisifika sana kwa ukorofi wake.
1981 - Milan Baros anazaliwa.
Ni mshambuliaji wa zamani wa Liverpool, Aston Villa, Portsmouth na timu ya taifa ya Jamhuri ya Czech.
Alichukua ubingwa wa ulaya akiwa na Liverpool mwaka 2005.
Pia mwaka 2008 alichukua ubingwa wa kombe la F.A akiwa na klabu ya Portsmouth.
Kumbe nawe Mussolin5 kumbe sio mtu wa mchezo mchezoLeo Katika Historia:
1922 - Benitto Mussolini na kundi lake wanaongoza maandamano makubwa ndani ya Jiji la Rome na kuiangusha serikali iliyokuwa madarakani.
Baada ya hapo, Mussolini anaingia madarakani na kutawala kwa mkono wa chuma.
1984 - Obafemi Martins anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Inter Milan, Newcastle na Timu ya Taifa ya Nigeria.
Naona hapo juu yupo na Hitler, kumbe walikuwa best
2014 - Michael Sata anafariki Dunia.
Alikuwa ni Rais wa 5 wa Zambia.
Am not a person of sport sport.Kumbe nawe Mussolin5 kumbe sio mtu wa mchezo mchezo
Kumbe kafikisha 60!!!1955 - Bill Gates anazaliwa.
Ni mfanyabiashara na mmiliki wa kampuni ya Microsoft na tajiri namba moja kwasasa Duniani.
HBD Milan, nyota yake ilififia kiajabuajabu1981 - Milan Baros anazaliwa.
Ni mshambuliaji wa zamani wa Liverpool, Aston Villa, Portsmouth na timu ya taifa ya Jamhuri ya Czech.
Alichukua ubingwa wa ulaya akiwa na Liverpool mwaka 2005.
Pia mwaka 2008 alichukua ubingwa wa kombe la F.A akiwa na klabu ya Portsmouth.
HBD Obafemi1984 - Obafemi Martins anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Inter Milan, Newcastle na Timu ya Taifa ya Nigeria.
Pamoja mkuuThanks Mussolin5
Africa kwa umri ni hatari sanaEti ndio kwanza ana miaka 32. Uongo ulioje?
Ahsante JJ,View attachment 425495View attachment 425496View attachment 425497
Asante sana Dj Cobblepots kwa udhamini mnono asubuhi ya leo,
Sina la zaidi kutoka katika magazeti
Niite Jimena Jimenes nawatakia weekend njema na yenye furaha tele
Nawapenda wote