Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,262
- 68,336
Yap, japo Biko aliuwawa mapema, lakini mchangi wake ni mkubwa na bado anaenziwa vyema sana Afrika Kusini.Katika hao huwezi kumsahau Steve Biko
Pia wapo wanaharakati kama akina Moses Mabhida, Peter Mokaba na wengineo ambao walijitoa haswa kwa nchi yao.


