Makapuku Forum

1917 - Oliver Tambo anazaliwa.

Alikuwa ni mwanasheria na mwanasiasa kutoka nchini Afrika Kusini.

Alikuwa ni mwanasiasa mashuhuri kutoka chama tawala cha ANC na mpigania Uhuru wa Nchi hiyo kando ya Nelson Mandela, Walter Sisulu na wwngineo.

Alifariki mwaka 1993 akiwa na miaka 75.

Kwaheshima yake, Uwanja wa Ndege wa Johannesburg umepewa jina lake na unajulikana kama Oliver Tambo International Airport.
 
HBD
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…