Makapuku Forum

Kingine kinachomfelisha Rooney, ni kuwa wahafidhina wa Man Utd hasa wakiongozwa na Sir Alex wanamuona sio mwenzao. Yaani yupo pale kimaslahi lakini sio kimapenzi kama akina Rio, Scholes, Giggs nk
Game ya siku hiz ni pesa tu mapenz yameishia kwa kina gerrard na totti.. Labda wilshere kidogo.. Mtu anawafanyia kazi na mpunga unazama
 
Km list ya Likes
Unaweza kuwa juu lakini wa chini yako akawa kipenzi cha watu na maarufu zaidi
Kweli rwkodi siyo mashindano
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
 
Rooney atabaki kuwa Rooney
Hapendwi na Waingereza hata rekodi yake ya magoli haiimbwi...angekuwa Owen au Beckham(model) ungeona kelele zao
.....
 
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…