18:00Hivi man u saa ngp?
Mechi ya tano hiyo mambo yanamuendea kombo pep
[emoji2] man U tumefodoka leo, acha tufodolewe sasaKikofia vp
Angalau sasa hivi unacheza mpira[emoji2] man U tumefodoka leo, acha tufodolewe sasa
Tumecheza vizuri tu[emoji2] man U tumefodoka leo, acha tufodolewe sasa
Tukitaka ushindi, Felain atolewe aingie MataAngalau sasa hivi unacheza mpira
Ngoja tusubiri Miujiza kipindi cha piliTumecheza vizuri tu
Goli la kwanza beki na kipa hawakuelewana
La pili tulizembea kukaba pia
......
Toa kwanza Lingard lijingaTukitaka ushindi, Felain atolewe aingie Mata
Na Lingard atolewe aingie Martial
Mm tukifunga goli la mapema basi tutashinda.....km tukifungwa la mapema basi game limekufaNgoja tusubiri Miujiza kipindi cha pili
Naona felain ametoka ameingia MataMm tukifunga goli la mapema basi tutashinda.....km tukifungwa la mapema basi game limekufa
........
Umewazidi kila kitu, kasoro kadi za njanoGame ipo poa tu
Magoli tumefungwa kutokana na kukosa umakini
Chelsea siyo time ya kutisha
Toa Linga rd mapema kabisa
...........