Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Pamoja kiongoziAsante mussolin
Pamoja kiongoziAsante mussolin
huku kwema mkuu. Ni jumapili nyingine tena.Wazima kabisa, vp pande hizo
Pele zama hizo, Messi zama hizi.Messi hapo anasubiri
Anatawala kwa mkono wa chuma.
Alaa kumbe! Sikuwahi kujua. Nitafatilia mkasa wake.Huyu mama kifo chake kilisababishwa na urembo,
Yaani alienda ufaransa(hospital) kufanyiwa operation ilo aondolewe mafuta tumboni(kitambi) hivyo mistake zikatokea hapo na kifo chake kutokea
Sio kila siku ni Ijumaa...![]()
Toto alichomfanya mnyama uwanja wa Taifa last season
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
.....
[emoji120] KF ni chanzo cha maarifaAlaa kumbe! Sikuwahi kujua. Nitafatilia mkasa wake.
Ahsante kwa kunijuza.
Mhhhhhh[emoji12] nasikia Yanga mnazilipa hizi team ndogo milioni 3 kila tunapocheza nao.
Nia yenu ili watukazie
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Super Sundayhuku kwema mkuu. Ni jumapili nyingine tena.
Patamu sana hapoBailey Vs DiegoCosta
Pogba Vs Ngolo Kante
Zlatan Vs David Luiz
Toto hawapo seriousSio kila siku ni Ijumaa...
[emoji2] Toto wanacheza mpira kama wa mtaani vile, yani ni butua butua ili mradi twende mbele (hawana formula)Toto hawapo serious
Wanakaba kwa kutegeana
Wanabitua mipira na kusababisha kona kibao
Mbele papara kibao
Naamini hilo goli hawapindui
.........
Wamepoteza nafasi 1 ya wazi kabisa[emoji2] Toto wanacheza mpira kama wa mtaani vile, yani ni butua butua ili mradi twende mbele (hawana formula)