Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwel, mpemba anastahili apangwe striker
Tatizo kocha anapanga timu ovyoovyo
Ibra siyo mbovu tatizo lipo pale kati anambeba sana Fella matokeo yake Pogba anaonekana garasa halafu Ibra anakosa mtu wa kumpa mipira
Kwahiyo KIUNGO kocha anahatibu sana hata kipigo cha Man City
Inashangaza maana bechi lipo full
............
 
Mmh! Ni mapema sana kuzungumzia hili coz kila mtu hapa kaleta kikombe kimoja.

Ila ngoja kwanza tusubiri mpk ligi iishe ndo tujue nani ni zaidi
Maana morinho huwezi mlaumu coz n bado mapema sana
Tulia ww
Wa juu na wanaoongoza ligi wana pts 20,sisi 14 GAP = 6 pts
Big match ambazo hatujacheza ni
V Arsenal
V Spurs
Mechi kubwa pekee ruliyocheza home ni v Man City

Japo Chelsea siyo wazuri lakini tujolaumu kufungwa kibwege na Watford zile point leo zingetusaisia sana onatakiwa tuwe tunatembeza vichapo kwa vibonde wote
...
 
Ni kwel mkuu,
Ila mm naona makosa haya huenda ndo yakawa fundisho kwetu na tukapata solution ya ushindi.

Hivyo points 6 ni chache mno.

Kosa analoganya morinho ni kumchezesha felain na kumuacha nje Mata.

Embu anaglia baada ya kuingia Mata utaona jinsi tulivyopamiliki pale kati na hata kushambulia zaidi
 
Back
Top Bottom