Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,735
- 26,079
[emoji2] naweza kujicontrol japo post iliyopita nlteleza kidogo ila nlficha maneno kinamna flaniAisee tulale mapema
Tukutane asubuhi
Tunaweza andika matusi bure
........
[emoji2] naweza kujicontrol japo post iliyopita nlteleza kidogo ila nlficha maneno kinamna flaniAisee tulale mapema
Tukutane asubuhi
Tunaweza andika matusi bure
........
Domourinho hajifunziNi kwel mkuu,
Ila mm naona makosa haya huenda ndo yakawa fundisho kwetu na tukapata solution ya ushindi.
Hivyo points 6 ni chache mno.
Kosa analoganya morinho ni kumchezesha felain na kumuacha nje Mata.
Embu anaglia baada ya kuingia Mata utaona jinsi tulivyopamiliki pale kati na hata kushambulia zaidi
Kesho basi[emoji2] naweza kujicontrol japo post iliyopita nlteleza kidogo ila nlficha maneno kinamna flani
Aiseee Usiku mwema,Domourinho hajifunzi
Fella nzuri km time imebaki tu basi maana ni mzito..... Km timu inashambulia hafai kabisa
Tusubiri mechi na City tionekm FALAini litapangwa tena
Tukutane asubuhi
Nina hasira
.................
Pole bitozDomourinho hajifunzi
Fella nzuri km time imebaki tu basi maana ni mzito..... Km timu inashambulia hafai kabisa
Tusubiri mechi na City tionekm FALAini litapangwa tena maana linamfanya Pogba awe garasa
Tukutane asubuhi
Nina hasira
.................
Mbona mchokozi hivyo [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ahsante Chelsea kwa kutulazia watu mapema!!![emoji23] [emoji111]
Nimemmiss Dj Cobblepots sanaa, leo uje kutupia vitu mkuu
Wapi Old is ever Gold ??? Sweetiepie acha siasa njoo ufanye kweli tafadhali
Siku nyingine usirudie kumtaja Moyes[emoji35]Hivi Kati ya
Moyes
Luis
Na
Josee
Ni nani ana nafuu?
Alikuwa kocha wa Man lakiniSiku nyingine usirudie kumtaja Moyes[emoji35]
Salama kabisa habari ya kupotea?Nimekukumbuka pia Jimena. Ntajitahidi kuweka hivi karibuni wala usijali.
Habari za masiku lakini?
Ndio ila sio lazima kumtajatajaAlikuwa kocha wa Man lakini
[emoji2] Tulia, hao ndo wanaongoza ligi kwa sasaR. Madrid wanatakata
Hala MadridR. Madrid wanatakata
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ndio ila sio lazima kumtajataja
Nimekuona sehemu, du mzee umepasuka kweli[emoji2] Tulia, hao ndo wanaongoza ligi kwa sasa
Salama kabisa habari ya kupotea?
Basi mi naomba nikutakie usiku mwema najua hutaadimika sana tenaSalama tu jimena, nakukumbuka sana pia.