Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Kumbe ulifuatiliaPalitifuka mno
Makauzu v Tapeli
Mod wamembeba angekuwa kapuku keshakula ban
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Kumbe ulifuatiliaPalitifuka mno
Za mchanaMrng shululu
Vp AnkaliMorning all
Kwa udhamini mkubwa kabisa wa Yanga naomba niwaletee magazeti yaliyotufikia mezani jumapili ya leo
View attachment 422741View attachment 422742
Asante sana kwa magazeti ya leo Ankali JJSina la ziada kutoka katika meza ya magazeti, nawatakia jumapili tulivu na yenye furaha
Niite Jimena Jimenes de la Bristol
Ila siwaachi hivi hivi tu ........ Nawaacha na wadhamini wetu ambao ni WA KIMATAIFAAAAAAAAAA
View attachment 422778View attachment 422779
Nani kanuna???
Cc jonax
Cc Mussolin5
Cc werrason
Cc mashabiki wote uchwara wa Simba [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji19] hongereni wana lamba lamba stazNimemmiss Dj Cobblepots sanaa, leo uje kutupia vitu mkuu
Wapi Old is ever Gold ??? Sweetiepie acha siasa njoo ufanye kweli tafadhali
Yanga inanipa pressure, itabidi na sisi tuzilipe hizo..Ww demu mbona mgomvi
Cc Kikofia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Cc mwenyekiti wa TeamWekaPicha Mussolin5
Aione hii
Wazima kabisa, vp pande hizoWakuu wazima, mniwie radhi kwa kuchelewa kuleta segment.