Makapuku Forum

Makapuku Forum

1981 - Nemanja Vidic anazaliwa.

Ni beki wa zamani wa Man Utd, Inter Milan na timu ya taifa ya Serbia.

Alisifika kwa kucheza kwa jihadi bila woga.

Anakumbukwa Man Utd kama kepteni na kwa kutengeneza kombinesheni matata na Rio Ferdinand.

Alitwaa mataji matano ya Epl, na moja la Ligi ya mabingwa mwaka 2008 pale Moscow.
Boko la Terry likasaidia man kubeba ndoo
 
1967 - Paul Ince anazaliwa.

Ni mchezaji wa zamani wa Man Utd na Liverpool.

Alikuwa ni kiungo wa shoka sana katika enzi zake.

Aliuzwa na kocha wa Man Utd, Sir Alex Ferguson baada ya kuwaambia wachezaji chipukizi akina Giggs na Scholes wamwite yeye Gavana.
Screenshot_2016-10-21-11-28-45.png
Screenshot_2016-10-21-11-29-14.png
Screenshot_2016-10-21-11-28-59.png
IMG_20161021_112939.jpeg
 
Back
Top Bottom