shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Yanaenda vizuriHuku Kwema kabisa. Vipi maisha yanaenda lakini?
Yanaenda vizuriHuku Kwema kabisa. Vipi maisha yanaenda lakini?
Ndio haki yakeMchape makofi huyo
Haaaahaaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] kufufuka tena
1984 - Kieran Richardson anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Man Utd, Sunderland, West Brom.
Hongereni sanaAcha tu....
Tulikuwa tunakomaa sana enzi ile
Kweli tumetoka mbali
Hebu iweke vizuri hiyo avatar yake[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Lilikiwa na avatar yale ya namna hii[emoji117] [emoji205]
Na wewe kwa mademu hujamboWe Th name yule demu wako uliyekuwa unaturingishia hapa Kf kipindi kile yuko wapi?
Kwa hiyo umeisha ifungua hiyo ID ya pili?Ila jamani kipindi application inanigomea na kudai nakosea password ndio nilijua umuhimu wa kuwa na ID mbili
Yani nilikuwa naimiss mno JF
Alisema wewe mlikuwa naye Milembe, wewe ukakimbia [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji35] Alafu aliingia na gia ya kichawi chawi
Ila baada ya kutambua kuwa wako karibu na mirembe, basi nmeshamzoea
Leo ndio umetoa la moyoniMaana ulituringishia sana..
[emoji12] Binafsi ulikuwaunamikwaza, sasa sisi tunazungumzia soka ww unapiga soga za kimapenzi na demu wako
Hongera sana kwa 122k122k
1981 - Nemanja Vidic anazaliwa.
Ni beki wa zamani wa Man Utd, Inter Milan na timu ya taifa ya Serbia.
Alisifika kwa kucheza kwa jihadi bila woga.
Anakumbukwa Man Utd kama kepteni na kwa kutengeneza kombinesheni matata na Rio Ferdinand.
Alitwaa mataji matano ya Epl, na moja la Ligi ya mabingwa mwaka 2008 pale Moscow.
Jonax atajinyonga sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani mimi nilikwambia uwe singo au?
Na hapa nachat naye sasa ila usiulize wapi kijana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji2] alafu alikuwa Ananidiss sana, mara aseme mm sina kisu kikal, domo zege.
Haya yote yako wapi sasa, wote ni bachela now
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huko amani hakuna1969 - Mapinduzi ya kijeshi yanatokea huko Somalia na kumuweka Siad Barre kama kiongozi wa Nchi hiyo.
Pole sanaHalafu kitambulisho cha Bima nilikikitafuta hadi uvunguni sijakipata...huwa nakitegemea
Leo mifuko itatoboka
........
1980 - Kim Kardashian anazaliwa.
Ni mwanamitindo na muigizaji yoka nchini Marekani.
Leo ndio nimejua chanzo cha hii tuzo1833 - Alfred Nobel anazaliwa.
Ni mwanakemia na Mhandisi toka nchini Uswizi.
Ndio mwanzilishi wa Tuzo ya Nobel iliyoanzishwa kwa ajili ya kutambua michango mbalimbali ya watu katika Jamii.
Aaahaaa, Ince alikuwa ni shida sana1967 - Paul Ince anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Man Utd na Liverpool.
Alikuwa ni kiungo wa shoka sana katika enzi zake.
Aliuzwa na kocha wa Man Utd, Sir Alex Ferguson baada ya kuwaambia wachezaji chipukizi akina Giggs na Scholes wamwite yeye Gavana.