Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
Mkeka [emoji1] [emoji1] [emoji1]Japo siipendi Man Utd lkn jana imenipa hela ya kutosha kutoka kwa muhindi
Wenyewe tunatosha kujichangiaKweli kuna matabaka
Kapuku ni kapuku tu sidhani km mtapewa promo na rambirambi hata mzungushe Uzi page 10
.....
nilikuta una 76,000 iviNasikia harufu ya 122k
Naamini ktk utu kuliko sifaWenyewe tunatosha kujichangia
Unaweza kuongoza likes lakini usiwe maarufu hapa JFnina ndoto ya kukupita likes
nilikuta una 76,000 ivi
hata hivyo umaarufu unakuja wenyeweUnaweza kuongoza likes lakini usiwe maarufu hapa JF
Watu na nyota zao usilazimishe mambo haytaweza kuwa km Rambo
.........
Binafsi sihitaji kuongoza likes km vipi Fanya juu chini unipitehata hivyo umaarufu unakuja wenyewe
Hata mimi maarufu sana humu [emoji12] [emoji12]Binafsi sihitaji kuongoza likes km vipi Fanya juu chini unipite
Mfano Musso ni maarufu kuliko jambilo sababu ya "Leo ktk historia" Jf wengi wanamsoma
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
ekastliiBinafsi sihitaji kuongoza likes km vipi Fanya juu chini unipite
Mfano Musso ni maarufu kuliko jambilo sababu ya "Leo ktk historia" Jf wengi wanamsoma
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
mmhHata mimi maarufu sana humu [emoji12] [emoji12]
Huku Kwema kabisa. Vipi maisha yanaenda lakini?Niko poa, vp pande hizo
Sasa hutaki au dharau [emoji2] [emoji85]
Gendaheka linakuona[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hata mimi maarufu sana humu [emoji12] [emoji12]
pinnedSasa hutaki au dharau [emoji2] [emoji85]
Mchape makofi huyoSasa hutaki au dharau [emoji2] [emoji85]
nitakupigiaGendaheka linakuona[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hataki wakati yeye mwenyewe alinipaisha kwenye uzi fulani hivi humu JfGendaheka linakuona[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Labda jukwaa la watoto na panyaroadHata mimi maarufu sana humu [emoji12] [emoji12]