shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Sasa bumu semester nzima 19000 inakupeleka wapi[emoji86] [emoji86]
Chai siku 2 tuu
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Sasa bumu semester nzima 19000 inakupeleka wapi[emoji86] [emoji86]
Chai siku 2 tuu
Nawe pia kakaMuwe na usiku mwema makapuku wote
Imba kwanza ule wimboaisee nimetoka chuo kuhangaikia mpishi wa kuniuzia msosi wa 5000 kwa semister nzima ili 14k niisevu.
USIKU MWEMA MAKAPUKU
Itabidi niimbe ila mh.tembo kakimbia hafla ya kesho anaogopa maswali [emoji23]Imba kwanza ule wimbo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hafla gani tenaItabidi niimbe ila mh.tembo kakimbia hafla ya kesho anaogopa maswali [emoji23]
[emoji15] ni miaka 55 ya UDSMHafla gani tena
Inasikitisha na kuumiza sana[emoji25]Kuna baadhi ya wanachuo wa mwaka wa kwanza wameamua kurudi nyumbani
Kumbe asingepingana na papa wa roma leo hii kkkt isingekuwepo. Hebu nambie ni nani kaanzisha makanisa ya kilokole na ni kwa sababu gani? Maana saivi makanisa hayo yamefumuka kama uyoga poriniHuyu ndo mwanzilishi wa dhehebu la KKKT(Lutheran)
Poa sana, habari za leoWazima, vip bablai!!
AmenWengine wote muwe na siku njema kila jema mlifanyalo likafanikiwe