Makapuku Forum

Makapuku Forum

"TOP TEN GREAT PEOPLE OF ALL TIME"
10.Aristotle.
alikuwa mjuzi,mwanasayansi na mwanafalsafa kutoka ugiriki,ana mchango mkubwa kwa elimu ya binadamu.
1622.jpg
 
8.Musa;kwa wanaoamini uwepo wa mungu,mtu huyu ameandikwa kwenye biblia pia qurani,wanaamini kuwa aliongea na Mungu,aliyewatoa waisraeli Misri na kupita nao baharini na mtu wa amri kumi za mungu.
238.jpg
Musa=Moses in English

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni.......Hakuna sehemu kwenye biblia ninayoipwnda km kipengele kinachphusu story ya Musa akifanya maajabu yake halafu Firauni naye anafanya yake mwishoni Musa anaigeuza fimbo kuwa nyoka na firauni naye anaiga halafu nyoka wa Musa anammeza wa firauni
........
 
7.Martin Luther:huyu si yule wa Marekani(King Jr).Yeye alikuwa ni kiongozi wa kiprotestanti,mwanatheolijia aliyepingana na papa wa roma kisha kutengwa na kanisa katoriki,aliondoka kwenda kuanzisha kampeni ya madhehebu mengi yalioathiri ulimwengu wa kanisa.Aliandika vitabu vingi na kutunga nyimbo,pia alitoa tafsiri ya biblia kwa kijerumani.
220px-Martin_Luther%2C_1529.jpg
 
Huyu ndo mwanzilishi wa dhehebu la KKKT(Lutheran)
 
Back
Top Bottom