Makapuku Forum

Makapuku Forum

5.Albert Einstein;
(14 Machi 187918 Aprili 1955) alikuwa mwanafizikia mwenye asili ya Kiyahudi kutoka nchi ya Ujerumani.
Hasa anajulikana kwa nadharia ya uhusianifu.

Mwaka 1921 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Mwaka 1933 alipoona kuwa Hitler aliteka utawala nchini Ujerumani, aliamua kubaki Marekani alipokuwa amekwenda, na hatimaye alipata uraia wa huko mwaka 1940.anatajwa kama mtu mwenye akili kuwahi kutokea kipindi cha dunia ya kisasa.
229.jpg
 
4.Plato;alikuwa kati ya wanafalsafa muhimu zaidi wa Ugiriki ya Kale. Aliishi kati ya 427 KK hadi 347 KK. Alikuwa mwanafunzi wa Sokrates na mwalimu wa Aristoteles. Alibuni mawazo mengi yenye maana hadi leo. Wanafalsafa wa kisasa wamesema ya kwamba falsafa yote inamtegemea Plato,kwa maana hiyo huyu ndiye baba wa falsafa.
.
220px-Head_Platon_Glyptothek_Munich_548.jpg

mfano wa kichwa cha Plato.
 
7.Martin Luther:huyu si yule wa Marekani(King Jr).Yeye alikuwa ni kiongozi wa kiprotestanti,mwanatheolijia aliyepingana na papa wa roma kisha kutengwa na kanisa katoriki,aliondoka kwenda kuanzisha kampeni ya madhehebu mengi yalioathiri ulimwengu wa kanisa.Aliandika vitabu vingi na kutunga nyimbo,pia alitoa tafsiri ya biblia kwa kijerumani.
220px-Martin_Luther%2C_1529.jpg
Du
 
3.Gautama Buddha;
alikuwa mwalimu wa kiroho kutoka India.

Kutokana na mafundisho yake, ulianzishwa Ubuddha ambao unatazamwa kwa kawaida kuwa dini.Katika mapokeo mengi ya Kibuddha anatazamwa kama Buddha mkuu wa wakati wetu, ambapo "Buddha" maana yake ni "aliyeamshwa" au "aliyeangazwa.

Miaka yake ya kuishi haina hakika: wanahistoria wengi wa mwanzo wa karne ya 20 walitaja miaka 563 KK hadi 483 KK hivi,lakini maoni ya siku hizi yanataja mwaka wa kufariki kati ya 486 KK na 483 KK au, hata kati ya 411 KK na 400 KK.

Gautama, anayejulikana pia kama Śākyamuni ("Mwenye hekima wa Śākyas"), ni mwalimu mkuu wa Ubuddha.
2120.jpg
 
4.Plato;alikuwa kati ya wanafalsafa muhimu zaidi wa Ugiriki ya Kale. Aliishi kati ya 427 KK hadi 347 KK. Alikuwa mwanafunzi wa Sokrates na mwalimu wa Aristoteles. Alibuni mawazo mengi yenye maana hadi leo. Wanafalsafa wa kisasa wamesema ya kwamba falsafa yote inamtegemea Plato,kwa maana hiyo huyu ndiye baba wa falsafa.
.
220px-Head_Platon_Glyptothek_Munich_548.jpg

mfano wa kichwa cha Plato.
Inawezekana vip picha ya mtume Paul ipatikane, lakini ya Pilato isipatikane?
 
2.Mtume Muhamad;Muhammad (kwa Kiarabu "Mwenye kusifika sana"; jina kamili kwa kirefu ni
محمد بن عبد الله بن عبد ﺍﻟﻤﻄﻠﺐ ﺍﻟﻬﺎﺷﻤﻲ
Muhammad bin 'Abd Allāh bin 'Abd al-Muţţalib al-Hāshimī) anaaminika katika dini ya Uislamu kuwa ni mtume wa mwisho wa Mungu (Allah) kwa binadamu.
Muhammad aliishi Makka kwa muda wa miaka 53, arubaini (40) katika hiyo akiwa ni mtu wa kawaida kabla ya kupewa utume, na 13 akiwa ni mjumbe wa Mwenyezi Mungu.

Maisha yake Makka yalikuwa ya taabu tangu utotoni mwake, kwani alizaliwa yatima kisha alipokuwa katika ujana wake alikuwa akifanya kazi ya kuchunga mbuzi na kondoo wa watu wa Makka kwa vijipesa kidogo mpaka alipofika umri wa miaka ishirini na tano akapata kazi ya kumfanyia biashara Khadija, bibi mtukufu wa Kikureshi ambaye baadaye alikuja kuwa mkewe, na kuzaa naye aghlabu ya watoto wake.
Mtume Muhammad, baada ya kupewa amri ya kuguria Madina, aliondoka na kuhamia mji huo ambao ulimpokea na kumkubali na kumsaidia na kumtukuza na kumlinda na maadui.

Ingawa Wayahudi wa Madina walikataa kumsadiki kuwa nabii kama wale wa Biblia, aliendelea kuhubiri huko na tangu mwaka wa kwanza alitunga Hati ya Agano iliyokubaliwa na Wamadina wote: ndiyo asili ya Umma, jamii ya waumini.

Mtume Muhammad aliishi Madina kwa muda wa miaka 10 mingine akitangaza dini ya Mwenyezi Mungu na huko watu wengi na makabila mbali mbali ya Kiarabu yaliingia dini ya Uislamu kwa makundi makundi.
Mwaka 630 Muhammad akiwa na nguvu za kutosha aliweza kurudi Makka na kuiteka, akairudisha Kaaba ambayo ndiyo chanzo cha Waislamu wote ulimwenguni kwenda kufanya Sala na Hija.
 
Ni hatari sana
Yani iko hv kaka: yani mpaka boom unapewa kupitia ile % ya mkopo uliopata.

Kama unapokea mkopo 50% basi hata kwenye bumu unapigiwa kwa asilimia hiyo hiyo

Mfano;
Hela ya kujikimu kama kwa siku ulitakiwa uchukue sh. 5000 basi inapigwa kwa 50% so unakuwa unapata sh. 2500
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yani iko hv kaka: yani mpaka boom unapewa kupitia ile % ya mkopo uliopata.

Kamaunapokea mkopo 50% basi hata kwenye unapigiwa kwa asilimia hiyo hiyo

Mfano;
Hela ya kujikimu kama kwa siku ulitakiwa uchukue sh. 5000 basi inapigwa kwa 50% so unakuwa unapata sh. 2500
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna baadhi ya wanachuo wa mwaka wa kwanza wameamua kurudi nyumbani
 
Back
Top Bottom