Shkrani mkuu
Wenyewe wanadai sio kazi ni wito hili neno silielewi kabisaView attachment 421716
Walimu nchi hii wanadharauliwa
Ukute mwalimu ana degree halafu huyo mkurugenzi ana certificate(mfano tu)
.....
Inawezekana kabisaView attachment 421716
Walimu nchi hii wanadharauliwa
Ukute mwalimu ana degree halafu huyo mkurugenzi ana certificate(mfano tu)
.....
Pogba na Man ni wako tofauti ama? [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Morning
Kwa hisani ya Man United na Pogba hebu tuangalie magazeti yaliyotufikia asubuhi ya leo katika meza yetu.
View attachment 421686View attachment 421688
Pamoja sana mkuu1.Yesu;
Yesu alikuwa Myahudi mwanamume aliyeishi miaka 2000 hivi iliyopita
Kutokana na umuhimu wake katika historia ya binadamu, kwa kawaida miaka yote inahesabiwa kuanzia ujio wake
Mbali ya hayo, zaidi ya nusu ya wanadamu wote wanamuamini kuwa Mwana wa Mungu (wanaoitwa Wakristo) au walau nabii (hasa Waislamu)
Yesu hakuacha maandiko yoyote. Habari zake zinapatikana hasa katika Biblia, kwa namna ya pekee katika Injili.
Nje ya Ukristo kuna habari fupi kuhusu Yesu katika maandiko ya waandishi Waroma, Wagiriki na Wayahudi. Habari hizo zinaangaliwa sana kwa sababu zimetungwa na watu wasiomwamini Yesu. Kwa ujumla zinathibitisha ya kwamba Yesu alikuwepo, alikuwa na wafuasi huko Roma na ya kwamba awali Waroma hawakuelewa tofauti kati ya wafuasi wake na Wayahudi.
Nchi ambayo Yesu alizaliwa akafundisha ni nchi ileile ambayo Mungu aliwaahidia Waisraeli tangu zamani za Abrahamu, ni nchi ileile waliyoiteka chini ya Yoshua, ni nchi ileile waliyoirudia kutoka utumwani Babeli.
Waumini wake wanaunda Kanisa la Kikristo ambalo linapatikana leo katika madhehebu mengi. Karibu wote wanamwamini kuwa Mungu aliyechukua umbile la mwanadamu au, kwa lugha nyingine, kuwa Mwana wa Mungu.
Wakristo wengine wanaamini kuwa yeye ni mtume wa pekee wa Mungu ila si Mungu.
Katika dini ya Uislamu, Yesu anajulikana kama Nabii Isa. Waislamu wanaamini kuwa yeye alikuwa ni nabii wa Mungu ila hakuwa mwana wa Mungu wala Mungu.
Maisha yake yamekuwa msingi wa sikukuu mbalimbali zinazosheherekewa katika nchi nyingi duniani, kama vile Noeli au Krismasi (kuzaliwa kwake), Epifania (kuonekana kwake na kubatizwa kwake), Majilio (kuandaliwa kwa ujio wake wa kwanza na kutarajia ujio wa pili), Kwaresima (mafungo na mateso yake), Ijumaa Kuu (kifo chake); muhimu kuliko zote ni Pasaka (kufufuka kwake).
![]()
****niliishiwa MB jana****
Halafu tuwe tunatangaza misiba yetu tulambe rambirambiInawezekana kabisa
Ahsante JIMENAView attachment 421727View attachment 421728View attachment 421729
Kwa hisani ya Pogba na Manchester United sina la zaidi kutoka hapa studio.
Niite Jimena Jimenes
T G I F
DharauzimezidiWenyewe wanadai sio kazi ni wito hili neno silielewi kabisa
Siku nyingine Mungu huwa hawaoni?View attachment 421707View attachment 421708View attachment 421710
Swala la waandishi wa haya magazeti leo kujijifanya ushindi wa Man United hawautambui Mungu anawaona