Makapuku Forum

Mgomvi wa mourinho..

Japo kakiri kuwa now hawana tofaut
 
Quigley leo naona umeamka na mungu mungu.. Toka lini ukamjua mumgu wewe.. Au ushapata email kitabu chako cha kuish dunian kishakatwa utepe..[emoji23] [emoji23] [emoji23]


Ungekuwa hiv siku zote saa hizi peponi ungekuwa na mabangalow first eleven
Mkuu ndivyo nilivyoanza wakati najiunga huku, niliteleza njiani, Sasa nimemrudia Mungu
 
Tunakusubiri sana Aubameyang, maana Messi anatutoa jashoView attachment 421217siyo kwa kipondo kile alichomshushia Manchester city
CC: werrason kuja huku utoe ufafanuzi wa team yako
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nilijua kuna kuvuliwa nguo huko, hivyo nilijiandaa kisaikolojia!!!

Kwanza sikwenda kuangalia mechi!
Timu zote za EPL zinamjua Messi, Arsenal aliwapiga 4!!! Labda Chelsea tu ndio wanaiweza Barcelona[emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…