Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia:

1933 - Ujerumani yajitoa katika Jumuiya ya Mataifa. ( League of Nations )

Hali hiyo ilipelekea Ujerumani kujiandaa kwa ajili ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia.
IMG_20161019_084325.jpeg
 
1944 - Peter Tosh anazaliwa.

Alikuwa ni mwanamuziki wa Reggae toka nchi ya Jamaica.

Alikuwa ni mtaalam wa gita, na inaaminika nchini Jamaica yeye ni maarufu zaidi ya Bob Marley.

Alifariki mwaka 1987 na siku yake aliyofariki kila mwaka huwa ni mapumziko kwa ajili ya kumuenzi.
 
JINSI YA KURUDISHA UPYA NGUO YAKO ILIYOCHAKAA!!

'Watu wengi wanakosa raha hasa pale nguo zao wanazozipenda zinapopauka ama kuchakaa.

Zifuatazo ni hatua za kufata ili nguo iliyochakaa ama kupauka kurudia upya wake;
1. Chemsha maji kwenye sifuria kubwa mpaka yachemke (100°C)
2. Tumbukiza nguo yako ndani ya hayo maji,subiri nusu saa afu uitoe kwenye sufuria
3. Weka mafuta ya kula,weka kitunguu na nyanya kisha kologa weka nguo yako humo kwenye mchuzi af tia chumvi kidogo na uonje he he he unadhani unaunga nyama hapo hebu ona unavofatilia kwa makini,acha ujinga wewe nguo ikichakaa tupa na ununue nyingine umeambiwa madukani zimeisha!!
 
Back
Top Bottom