shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Morning mkushiMorning Makapuku wenzangu
Morning mkushiMorning Makapuku wenzangu
Yasemekana jamaa alikuwa mtata kichiz..1944 - Peter Tosh anazaliwa.
Alikuwa ni mwanamuziki wa Reggae toka nchi ya Jamaica.
Alikuwa ni mtaalam wa gita, na inaaminika nchini Jamaica yeye ni maarufu zaidi ya Bob Marley.
Alifariki mwaka 1987 na siku yake aliyofariki kila mwaka huwa ni mapumziko kwa ajili ya kumuenzi.
Hbd big sam..1954 - Sam Allardyce anazaliwa.
Ni mchezaji na kocha wa zamani wa Bolton, West Ham, Sunderland na timu ya taifa ya Uingereza.
Anajulikana kama Big Sam.
Nawe pia kapukuHasubui njema makapuku
Asante Ankali kwa magazeti ya leo, Quigley alikuwakilisha vyema sanaView attachment 420580View attachment 420581View attachment 420582
Kwa hisani yangu mimi mwenyewe niite Jimena Jimenes
Nawatakia siku njema
Wapi mwenyekiti Mussolin5 aje kutupa historia
Naona yuko jukwaan na kanjiti mdomoni
Umenikumbusha mbali kidogo mkuu1977 - Habib Beye anazaliwa.
Ni beki wa kulia wa zamani wa Marseille, Newcastle, Astin Villa na timu ya taifa ya Senegal.
Nilikuwa napenda kumuita mpemba..
naenda kununua maandazi kwa ajili yaUnaenda wapi sasa wee mtoto
Katika ubora wakoMirembe Mental Hospital.
DAKTARI :- Unajisikiaje?
CHIZI:-Kila siku naota nyani wanacheza mpira wa miguu.
DAKTARI :- Nitakupa dawa leo hautaota tena.
CHIZI:-Hiyo dawa nipe kesho sababu leo wanacheza fainali, na nilibet
[emoji17] [emoji17]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]28!!!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Wakat babu yangu kuke brazil ameniambia alikuwa anatoka na mdogo wake diego costa.. Enzi hizo babu darsa la 5 diego costa la saba..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
America wabaya sana2005 - Saddam Hussein anapandishwa mahakamani kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu.
Alikuwa ni kiongozi wa zamani wa Iraq. Alikutwa na hatia na kunyongwa mwaka 2006.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] hovyooJINSI YA KURUDISHA UPYA NGUO YAKO ILIYOCHAKAA!!
'Watu wengi wanakosa raha hasa pale nguo zao wanazozipenda zinapopauka ama kuchakaa.
Zifuatazo ni hatua za kufata ili nguo iliyochakaa ama kupauka kurudia upya wake;
1. Chemsha maji kwenye sifuria kubwa mpaka yachemke (100°C)
2. Tumbukiza nguo yako ndani ya hayo maji,subiri nusu saa afu uitoe kwenye sufuria
3. Weka mafuta ya kula,weka kitunguu na nyanya kisha kologa weka nguo yako humo kwenye mchuzi af tia chumvi kidogo na uonje he he he unadhani unaunga nyama hapo hebu ona unavofatilia kwa makini,acha ujinga wewe nguo ikichakaa tupa na ununue nyingine umeambiwa madukani zimeisha!!
Aahh.. Poa, ongeza yangu 10naenda kununua maandazi kwa ajili ya![]()
Waduwanzi kichizAmerica wabaya sana
Aahh.. Poa, ongeza yangu 10
Atakuwa yeye, maana ndio nilimuacha Milembe, si unajua ule utafiti wetu, kila watu wanne,mmoja ni kichaaDah!!! Uchizi kweli miyeyusho. Atakuwa nani huyu!? Enzi zake za kudata kidogo.
2005 - Saddam Hussein anapandishwa mahakamani kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu.
Alikuwa ni kiongozi wa zamani wa Iraq. Alikutwa na hatia na kunyongwa mwaka 2006.
Makapuku ni kama baharileo Tupac makaveli10 naye kaonekana?gud sana