Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,735
- 26,081
Ni Diego CostaHuyu ni nani jonax??
Ni Diego CostaHuyu ni nani jonax??
Hilo game linaitwaje ili nlidownload nowNani anaifahamu hii kitu?????
View attachment 420483
Mkuu mamboHilo game linaitwaje ili nlidownload now
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nipo saluni namnyoa mvi Diego Costa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Nishakaribia arif..Karibuni wana wapotevu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hizi lugha za watu hizi..
Eden kimario ukujr huku... Kuna watu wana masihara ya ngumiNamtafuta ndugu yangu Diego Costa kapoteaView attachment 420473kama ukimuona unitaarifu
Hatar kwa kudanganya umri[emoji23] [emoji23] [emoji23]Arsenal hawawezi kua na striker hatari kama diego costa
Hii si need for speed au unazungmzia nin mkuu!?Nani anaifahamu hii kitu?????
View attachment 420483
Itakuwa ni need for speedHilo game linaitwaje ili nlidownload now
Aisee pole sanaNdio hapa natumia browser
Pamoja kiongoziShukrani mkuu...
Hivi upo kambi gani vile [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Nambie mutu ya kongo
HaaaahaaaaNamtafuta ndugu yangu Diego Costa kapoteaView attachment 420473kama ukimuona unitaarifu
Mzee wa fungateUlikuwa wapi
We piga kelele tu ana 28 hivi sasaHatar kwa kudanganya umri[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeshapoa ankaliAisee pole sana
M Rwanda huyoMnyarwanda hawezi ongea English km ile
FB fix sana
Usishangae kumbe ni wa Mara
Wapo wanaozuga hadi kusoma Harvard University
.........