Makapuku Forum

Makapuku Forum

IMG_20161019_075310.jpeg
 
Mirembe Mental Hospital.

DAKTARI :- Unajisikiaje?
CHIZI:-Kila siku naota nyani wanacheza mpira wa miguu.

DAKTARI :- Nitakupa dawa leo hautaota tena.
CHIZI:-Hiyo dawa nipe kesho sababu leo wanacheza fainali, na nilibet
Dah!!! Uchizi kweli miyeyusho. Atakuwa nani huyu!? Enzi zake za kudata kidogo.
 
Back
Top Bottom