Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
hahahaha....Mkuu unataka kuleta uchochezi hapa, Saddam Hussein alikuwa rais wa Kuwait.
Kosa la mitandaoni likikukuta kwa kumkosoa rais utujulishe tu.
hahahaha....Mkuu unataka kuleta uchochezi hapa, Saddam Hussein alikuwa rais wa Kuwait.
Kosa la mitandaoni likikukuta kwa kumkosoa rais utujulishe tu.
Jana mlikuja pamojaKumbe na yeye aliadimika[emoji15]
Ndio maana kaadimika humuLeo kidogo shemej yako kaamka poa so niko free kazi zimepungua, Mimba inampeleka puta kichiz.
Katibu wetu amerudi, Kwanza aweke pichaFinally umerudi, ahsante kwa magazeti JJ.
Wajerumani watata sanaLeo katika Historia:
1933 - Ujerumani yajitoa katika Jumuiya ya Mataifa. ( League of Nations )
Hali hiyo ilipelekea Ujerumani kujiandaa kwa ajili ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia.
RIP1986 - Samora Machel anafariki Dunia.
Alifariki baada ya ndege aliyokuwa amepanda kupata ajali na kuanguka huko katika milima ya Lebombo.
Inaaminika aliuliwa na majasusi wa Kikabulu.
Mzee wa watu walimuonea sana2005 - Saddam Hussein anapandishwa mahakamani kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu.
Alikuwa ni kiongozi wa zamani wa Iraq. Alikutwa na hatia na kunyongwa mwaka 2006.
Hayo pia yamezungumzwa sana. Ila yote kwa yote kifo chake kilitokana na faulo ya makabulu.Inasemekana walimmalizia chini, alikuwa hai baada ya ndege kuanguka..
Siku zote huwa hazifanani [emoji115]
Kukauka maajabu ya karneMakapuku ni kama bahari
Mzee wa kashifa1954 - Sam Allardyce anazaliwa.
Ni mchezaji na kocha wa zamani wa Bolton, West Ham, Sunderland na timu ya taifa ya Uingereza.
Anajulikana kama Big Sam.
Nyangema huyu[emoji23] [emoji23]Atakuwa yeye, maana ndio nilimuacha Milembe, si unajua ule utafiti wetu, kila watu wanne,mmoja ni kichaa
Waliofanya utafiti walikuwa 20, 5kati yao ni vichaa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kuwait tena!!Mkuu unataka kuleta uchochezi hapa, Saddam Hussein alikuwa rais wa Kuwait.
Kosa la mitandaoni likikukuta kwa kumkosoa rais utujulishe tu.
Asante mussolin, nawe siku njema piaLeo katika Historia:
Kwa hisani ya JJ, sina la ziada niwatakie siku njema.
Atakuja soon mkuu... Nishamjulia dawa yake sasa hv..Ndio maana kaadimika humu
[emoji39]
kufyatuana?Atakuja soon mkuu... Nishamjulia dawa yake sasa hv..
Asubuh viwili usiku vitatu.. Dozi saf kanisa hakuna cha kisiran wala fyoko na vyombo ataosha!!
Tena sana kwa sana yaaniAmerica wabaya sana
Haaaahaaaa, sijaribiwiMkuu unataka kuleta uchochezi hapa, Saddam Hussein alikuwa rais wa Kuwait.
Kosa la mitandaoni likikukuta kwa kumkosoa rais utujulishe tu.